Msitucheleweshe sana huko Magarini, tunataka kutuma ujumbe mzito na mapema na kazi iendelee maana huu ni wakati wa kuendelea kuwapa huduma wakazi wa Kilifi.
Ahsante sana Mheshimiwa Mbunge wa Magarini Harry Kombe pamoja na Seneta wa zamani wa Samburu, Mheshimiwa Sammy Leshore kwa kunitembelea afisini kwangu mapema leo.