Hatukomi hapo, tunawatengezea stadium
ya kwanza ya kisasa kaunti hii mwaka huu wa kifedha wa 2024-2025, mwenye macho ataona. Mkifurahi nami nafurahi. Ahsanteni sana vijana wetu wanamichezo kwa kuonyesha nidhamu kabla, wakati na hata baada ya mashindano haya.