Inaweza kuwa ngumu kuendelea wakati unahisi kushindwa. Hata hivyo, katika safari ya maisha, usiruhusu kuua ndoto zako kwa sababu ya changamoto unazopitia sasa. Usichoke kuomba
na hakika, Mungu atakupa ufanisi uliokuwa ukitamani haijalishi itachukua muda gani.