Governors Commitment and Plan
Twende Kilifi
Kilifi NGO Portal
Kazi Kilifi
Buy and Rent – Kilifi

Copyright 2024
Kilifi County Government
Karibu Kilifi

Back
Executive > Hospitali kuu ya Malindi

Hospitali kuu ya Malindi

Company
Tuko site, na kwa mara ya kwanza Kilifi, tutakuwa na huduma za wagonjwa mahututi, ujenzi wa chumba cha wagonjwa hao (ICU), kwa sasa unaendelea katika Hospitali kuu ya mjini Malindi na ukikamilika, hatutalazimika kusafiri tena kaunti zengine kutafuta huduma hizo.
Ndani ya Hospitali hiyo vile vile, kwa sasa tunajenga hifadhi mpya ya maiti huku ukarabati wa Wodi ya watoto nao ukiwa zaidi ya asimilia themanini kukamilika. Vyumba vya kulaza watoto vitakuwa venye hadhi na vya kisasa.
Avatar
Editor@kilifi.go.ke
Date

June 6, 2024

error: Content is protected !!