Mapema leo, nimeungana na familia, jamaa na marafiki katika hifadhi ya maiti ya Star mjini Malindi, kuombeleza na kujadiliana ni jinsi gani tutamsindikiza kwa heshima, marehemu mzee Kaviha Kikopi Taura aliyefariki nyumbani kwake, juma moja lililopita, katika mtaa wa Kizumo huko Kibokoni Wadi ya Sabaki.