Governors Commitment and Plan
Twende Kilifi
Kilifi NGO Portal
Kazi Kilifi
Buy and Rent – Kilifi

Copyright 2024
Kilifi County Government
Karibu Kilifi

Back
Executive > Mithali 22:6

Mithali 22:6

Company
Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Kwa sisi ambao tumeajaliwa kupata malaika hawa, iwe mzazi ama hata mlezi, tuna jukumu la kuwakuza watoto katika msingi wa kuitambua na kuiheshimu dini. Katika kutekeleza hilo kikamilifu, tutaweza kuwa na kizazi chenye maadili mema kitakachozingatia kanuni na maandiko ya Mungu.
Mithali 22:6
“Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.”
Avatar
Editor@kilifi.go.ke
Date

April 28, 2024

error: Content is protected !!