Marehemu alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu, na alikuwa baba wa mfanyakazi wangu, Rubea Amani, ambaye kumbukumbu ya upendo na hekima zake zitakumbukwa milele. Makiwa kwa familia yake na Mwenyezi Mungu amsamehe baba yetu madhambi yake na amuweke pamoja na waja wema waliotutangulia. Ameen.