Nimefurahia kutazama fainali hizo na imenipa msukumo zaidi wakuharakisha ujenzi wa uwanja wa kisasa ili tuendelee kukuza talanta zenu, na nitahakikisha ujenzi huo unakamilika mwishoni mwa mwaka huu. Kwa waliopoteza, bado kuna nafasi nyengine mbeleni.