Leo ni ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadan (Juma’a Tul Wida).
Tuendelee kuwa watu wa kusamehe na kushukuru. Ya Rabbi! kubali Sawm na ibada za wote waliofunga, tujaalie uzima na afya tuweze kufika Ramadhan inayokuja na utusamehe sote dhambi zetu. Ameen.