Governors Commitment and Plan
Twende Kilifi
Kilifi NGO Portal
Kazi Kilifi
Buy and Rent – Kilifi

Copyright 2024
Kilifi County Government
Karibu Kilifi

Back
Executive > Hongera Kilifi kwa Ushindi!

Hongera Kilifi kwa Ushindi!

Company
Kongole kwa timu yetu ya Kilifi kwa kushinda taji la Dola Super Cup. Bidii, umoja na nidhamu yenu imechangia pakubwa ushindi huu. Hii imedhihirisha wazi kwamba Kilifi tuna talanta. Hivi karibuni, nitawaalika afisini kwangu kuwapa shukran zangu kwa kazi yenu nzuri.
Avatar
Editor@kilifi.go.ke
Date

August 25, 2024

error: Content is protected !!