Shukran za dhati kwa Spika wa bunge la Seneti Amason Jefwa Kingi, Waziri Salim Mvurya, kakangu Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir, Wabunge wa bunge la kitaifa walioandamana nasi, Spika wa bunge la kaunti, MCAs na viongozi wote waliofika kusherekea mila na desturi zetu kama jamii ya Mijikenda.