Kongole kwa timu yetu ya Kilifi kwa kushinda taji la Dola Super Cup. Bidii, umoja na nidhamu yenu imechangia pakubwa ushindi huu. Hii imedhihirisha wazi kwamba Kilifi tuna talanta. Hivi karibuni, nitawaalika afisini kwangu kuwapa shukran zangu kwa kazi yenu nzuri.