Mlisema tuweke lami barabara ya Kijiwetanga- Jacaranda, sasa kazi inaendelea, tunatekeleza yale mliyotuagiza. Ujenzi wa barabara hii hautapiga jeki sekta ya utalii tu, bali pia usafiri wa wakazi wa maeneo haya. Huu ndio Mung’aro wa Kilifi, na utaendelea kung’ara kila kona ya Kilifi hii.