Kwa mara nyengine tena, operasheni yetu dhidi ya muguka Kilifi imekuwa ya mafinikio. Tumenasa na kuchoma moto magunia 4 katika sehemu za Mnarani, Mavueni na Uwanja wa Water huku vilevile tukiteketeza magunia 3 katika mitaa ya Shella na Kisumu ndogo mjini Malindi.