Governors Commitment and Plan
Twende Kilifi
Kilifi NGO Portal
Kazi Kilifi
Buy and Rent – Kilifi

Copyright 2024
Kilifi County Government
Karibu Kilifi

Back
Executive > Marehenu Mzee Kaviha Kikopi

Marehenu Mzee Kaviha Kikopi

Company
Mapema leo, nimeungana na familia, jamaa na marafiki katika hifadhi ya maiti ya Star mjini Malindi, kuombeleza na kujadiliana ni jinsi gani tutamsindikiza kwa heshima, marehemu mzee Kaviha Kikopi Taura aliyefariki nyumbani kwake, juma moja lililopita, katika mtaa wa Kizumo huko Kibokoni Wadi ya Sabaki.
Ni pigo kubwa kwa jamii kumpoteza mzee Kaviha ambaye tulifahamiana kwa miaka mingi tangu nilipokuwa Meya wa Malindi, akiwa mmoja wa washauri wangu katika maswala ya uongozi. Mungu ailaze roho ya mzee wetu Kaviha mahala pema penye wema, na kwa wapendwa wake, Mungu atufariji sote. 🙏
Avatar
Editor@kilifi.go.ke
Date

May 16, 2024

error: Content is protected !!