Nmekutana na Wabunge wote wa kitaifa wa kaunti ya Kilifi ambao kwa pamoja tumekuwa tukipanga kuhusu sherehe za Chenda Chenda za mwaka huu.
Mipangilio yote tushaikamilisha na shughuli hii tunaitarajia kuleta pamoja jamii zote za Wamijikenda eneo la Pwani na Nchi nzima kwa jumla. Shukran zaidi kwa wazee wetu wa Kaya kwa kuendelea kushirikiana nasi.