Governors Commitment and Plan
Twende Kilifi
Kilifi NGO Portal
Kazi Kilifi
Buy and Rent – Kilifi

Copyright 2024
Kilifi County Government
Karibu Kilifi

Back
Executive > Shukrani kwa Sherehe za Chenda

Shukrani kwa Sherehe za Chenda

Company
Nawashukuru wazee wetu wa Kaya na wakazi wote wa eneo la Pwani waliofika Kayafungo Kaloleni kufanikisha sherehe za Chenda Chenda.
Shukran za dhati kwa Spika wa bunge la Seneti Amason Jefwa Kingi, Waziri Salim Mvurya, kakangu Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir, Wabunge wa bunge la kitaifa walioandamana nasi, Spika wa bunge la kaunti, MCAs na viongozi wote waliofika kusherekea mila na desturi zetu kama jamii ya Mijikenda.
Avatar
Editor@kilifi.go.ke
Date

September 9, 2024

error: Content is protected !!