Kwa wana Kilifi, jinsi mnavyoshirikiana nasi kwa ukaribu katika swala hili, ni dhahiri shahiri kwamba, wananchi wa Kilifi wamechoka kuona vijana wao wakiangamia, wanachotaka ni kuwanasua katika janga hili na kwa hakika, endapo tutaendelea kutembea pamoja, tutamaliza janga hili Kilifi na kurudisha heshima kwa vijana wetu.